# Wale niliowapukuta na kuwapembua, watoto wa sakafu yangu ya kupukuchua Watu wa Israeli kuteseka kwa sababu ya Wababeli inazungumziwa kana kwamba watu walikuwa nafaka ambayo ilipukukutwa na kupembuliwa. # niliowapukuta neno "yangu" ina maana ya Isaya. # Yahwe wa majeshi Yahwe wa majeshi ya Israeli.