sw_tn/isa/20/01.md

16 lines
369 B
Markdown

# jemadari yule
Jina la kamanda mkuu wa majeshi ya Ashuru
# Sargoni
jina la mfalme wa Ashuru
# alipigana dhidi ya Ashdodi na kuuchukua
Ashdodi ina maana ya jeshi la Ashdodi. "alipigana dhidi ya jeshi la Ashdodi na kulishinda"
# kutembea uchi na peku
"kutembea tembea bila nguo na bila ndara". Hapa neno "uchi" huenda ina maana ya kuvaa nguo zake za ndani pekee.