# jemadari yule Jina la kamanda mkuu wa majeshi ya Ashuru # Sargoni jina la mfalme wa Ashuru # alipigana dhidi ya Ashdodi na kuuchukua Ashdodi ina maana ya jeshi la Ashdodi. "alipigana dhidi ya jeshi la Ashdodi na kulishinda" # kutembea uchi na peku "kutembea tembea bila nguo na bila ndara". Hapa neno "uchi" huenda ina maana ya kuvaa nguo zake za ndani pekee.