sw_tn/isa/19/05.md

16 lines
367 B
Markdown

# Maji ya bahari yatakauka, na mto utakauka na kuwa tupu
Wamisri walimaanisha Mto Nile kama "bahari". Misemo hii miwiwli ina maana. "Mto Nile utakauka kabisa"
# itakuwa chafu
"kutoa harufu mbaya" au "kunuka"
# itafifia
"kuwa chini"
# matete na mianzi itasinyaa
"Matete" na "mianzi" ina maana ya aina mbili ya mimea ya maji. "mimea katika mto itakufa na kuoza"