# Maji ya bahari yatakauka, na mto utakauka na kuwa tupu Wamisri walimaanisha Mto Nile kama "bahari". Misemo hii miwiwli ina maana. "Mto Nile utakauka kabisa" # itakuwa chafu "kutoa harufu mbaya" au "kunuka" # itafifia "kuwa chini" # matete na mianzi itasinyaa "Matete" na "mianzi" ina maana ya aina mbili ya mimea ya maji. "mimea katika mto itakufa na kuoza"