sw_tn/isa/17/04.md

16 lines
545 B
Markdown

# Itakuja kuwa
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu ambalo litatokea.
# utukufu wa yakobo utakuwa mwembamba, na unene wa mwili wake utadhoofika
Hapa "Yakobo" ina maana ya ufalme wa Israeli. Israeli hatakuwa na utukufu tena. Ila atakuwa dhaifu na maskini.
# itakuwa kama pale ambapo wavunaji walikusanya nafaka iliyosimama ... katika bonde la Warefai
Hakutakuwa na kitu kinachobaki katika nchi baada ya Mungu kuadhibu watu wa Israeli.
# bonde la Warefai
Hili ni bonde ambapo watu kawaida kuotesha na kuvuna chakula kingi.