# Itakuja kuwa Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu ambalo litatokea. # utukufu wa yakobo utakuwa mwembamba, na unene wa mwili wake utadhoofika Hapa "Yakobo" ina maana ya ufalme wa Israeli. Israeli hatakuwa na utukufu tena. Ila atakuwa dhaifu na maskini. # itakuwa kama pale ambapo wavunaji walikusanya nafaka iliyosimama ... katika bonde la Warefai Hakutakuwa na kitu kinachobaki katika nchi baada ya Mungu kuadhibu watu wa Israeli. # bonde la Warefai Hili ni bonde ambapo watu kawaida kuotesha na kuvuna chakula kingi.