sw_tn/isa/16/05.md

12 lines
523 B
Markdown

# ufalme utaimarishwa katika agano la uaminifu
Hapa "ufalme" una maana ya nguvu ya kutawala kama mfalme. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yahwe atakuwa mwaminifu kwa agano na atamteua mfalme"
# na mmoja kutoka katika hema la Daudi atakaa pale kwa uaminifu
Hapa "hema la Daudi" inawakilisha familia ya Daudi, ikijumlisha uzao wake. Kukaa juu ya kiti cha enzi inawakilihsa kutawala. "na uzao wa Daudi utatawala kwa uaminifu"
# atakapotafuta haki
Kutafuta haki inawakilisha kutaka kufanya kile ambacho ni haki.