sw_tn/isa/10/20.md

16 lines
364 B
Markdown

# Katika siku hiyo
Hii ina maana kipindi ambacho Mungu anafanya mambo ambayo yanaelezwa katika 10:15. "Katika kipindi hicho"
# ambayo imetoroka
Maana inaweza kuwekwa wazi. "ambaye ametoroka kutoka katika jeshi la Ashuru"
# haitategemea tena kwa yule ambaye aliwashinda
"hatategemea tena mfalme wa Ashuru, ambaye aliwadhuru"
# Mtakatifu
Mtakatifu wa Israeli