# Katika siku hiyo Hii ina maana kipindi ambacho Mungu anafanya mambo ambayo yanaelezwa katika 10:15. "Katika kipindi hicho" # ambayo imetoroka Maana inaweza kuwekwa wazi. "ambaye ametoroka kutoka katika jeshi la Ashuru" # haitategemea tena kwa yule ambaye aliwashinda "hatategemea tena mfalme wa Ashuru, ambaye aliwadhuru" # Mtakatifu Mtakatifu wa Israeli