sw_tn/isa/08/03.md

8 lines
314 B
Markdown

# Nilikwenda kwa nabii wa kike
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba Isaya alimuoa nabii wa kike. "Nililala na mke wangu, nabii wa kike"
# utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "mfalme wa Ashuru atabeba hazina zote za Dameski na Samaria"