# Nilikwenda kwa nabii wa kike Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba Isaya alimuoa nabii wa kike. "Nililala na mke wangu, nabii wa kike" # utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "mfalme wa Ashuru atabeba hazina zote za Dameski na Samaria"