sw_tn/hos/13/01.md

28 lines
685 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Efraimu alipozungumza
Hosea ametumia neno Efraimu kumaanisha ufalme mzima wa kaskazini, japokuwa lilikuwa jina la moja ya makabila kumi na mbili.
# kulikuwa na tetemeko
"kulikuwa na tetemeko kati ya watu"
# Alijikuza katika Israeli
"kujikuza" ni kujifanya wa muhimu.
# lakini akawa na hatia kwa sababu ya ibada ya Baali, naye akafa
Watu wa Efraimu walipoanza kuabudu Baali wakawa dhaifu na adui zao wakawashinda.
# Sasa wanafanya dhambi zaidi na zaidi.
Hawa ni watu wa kabila la Efraimu na taifa zima la Israeli.
# Watu hawa watoao dhabihu na kumbusu ndama
Sehemu ya kuabudu sanamu ni kwa kuibusu sanamu ambayo ni sanamu ya ndama.