sw_tn/hos/10/01.md

24 lines
494 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Hosea anazungumza juu ya Israeli.
# Israeli ni mzabibu mzuri ambao huzaa matunda yake
Israeli inazungumzwa kama mzabibu unaozaa matunda.
# Mzabibu mzuri
Mzabibu huu unatoa matunda kuliko kawaida.
# kwa kadiri matunda yake yanavyoongezeka .... nchi uake inazalisha sana
Hii inamaanisha kuwa watu walinawiri na kuwe wenye nguvu na matajiri.
# Moyo wao ni udanganyifu
"Wao ni wadanganyifu"
# sasa wanapaswa kubeba hatia yao
"Sasa ni wakati ambao Bwana atawaadhibu"