# Taarifa ya jumla: Hosea anazungumza juu ya Israeli. # Israeli ni mzabibu mzuri ambao huzaa matunda yake Israeli inazungumzwa kama mzabibu unaozaa matunda. # Mzabibu mzuri Mzabibu huu unatoa matunda kuliko kawaida. # kwa kadiri matunda yake yanavyoongezeka .... nchi uake inazalisha sana Hii inamaanisha kuwa watu walinawiri na kuwe wenye nguvu na matajiri. # Moyo wao ni udanganyifu "Wao ni wadanganyifu" # sasa wanapaswa kubeba hatia yao "Sasa ni wakati ambao Bwana atawaadhibu"