sw_tn/hos/09/16.md

8 lines
269 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza kwenye mstari wa 16. Hosea anaanza kuzungumza mstari wa 17.
# Efraimu ni mgonjwa, na mizizi yao imekauka; hawazai matunda
Bwana anawazungumzia wana wa Israeli kama mti wenye ugonjwa usioweza kuzaa matunda na upo tayari kukatwa.