sw_tn/hos/09/11.md

12 lines
310 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza
# utukufu wao utatoka kama ndege
Watu wa Efraimu watapoteza kila kitu kilichokuwa kinafanya mataifa mengine yawaheshimu. Utukufu wao utapotea haraka kama ndege apaavyo.
# nikiwaacha
Mungu akiacha kuusaidia ufalme wa kaskazini itakuwa kama vile ameondoka kabisa kwao.