# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza # utukufu wao utatoka kama ndege Watu wa Efraimu watapoteza kila kitu kilichokuwa kinafanya mataifa mengine yawaheshimu. Utukufu wao utapotea haraka kama ndege apaavyo. # nikiwaacha Mungu akiacha kuusaidia ufalme wa kaskazini itakuwa kama vile ameondoka kabisa kwao.