sw_tn/hos/05/12.md

24 lines
609 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Mungu anazungumza juu ya Yuda na Israeli.
# nitakuwa kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa nyumba ya Yuda
Bwana ataangamiza mataifa yote.
# Nondo ... uozo
Maneno haya yanatafsiriwa kwa njia mbali mbali kwa sababu maana ya kiebrania ni pana sana na isiyo na uhakika.
# Efraimu alipoona ugonjwa wake, Yuda akaona jeraha lake
Efraimu na Yuda wote walitambua kuwa wapo kwenye hatari.
# Efraimu akaenda Ashuru; Yuda akatuma wajumbe kwa mfalme mkuu
Efraimu na Yuda walimuomba Ashuru msaada badala ya kumuomba Mungu awasaidie.
# Lakini hakuweza
Hapa anazungumziwa mfalme wa Ashuru.