sw_tn/heb/13/24.md

8 lines
281 B
Markdown

# wale wanaotoka Italia wawasalimu
Maana zinazodhaaniwa ni 1) mwandishi hayuko Italia, lakini kuna kundi la waumini waliotoka Italia walio pamoja naye au 2) mwandishi yuo Italia anapoandika barua hii.
# Italia
Hili ni jina la sehemu wakati huo. Rumi ilikuwa mji mkuu wa Italia.