# wale wanaotoka Italia wawasalimu Maana zinazodhaaniwa ni 1) mwandishi hayuko Italia, lakini kuna kundi la waumini waliotoka Italia walio pamoja naye au 2) mwandishi yuo Italia anapoandika barua hii. # Italia Hili ni jina la sehemu wakati huo. Rumi ilikuwa mji mkuu wa Italia.