sw_tn/heb/13/24.md

281 B

wale wanaotoka Italia wawasalimu

Maana zinazodhaaniwa ni 1) mwandishi hayuko Italia, lakini kuna kundi la waumini waliotoka Italia walio pamoja naye au 2) mwandishi yuo Italia anapoandika barua hii.

Italia

Hili ni jina la sehemu wakati huo. Rumi ilikuwa mji mkuu wa Italia.