sw_tn/heb/13/22.md

20 lines
391 B
Markdown

# Sasa
Hii inaonyesha sehemu mpya ya barua. Hapa mwandishi anatoa maoni yake ya mwisho kwa wale anaowaandikia.
# ndugu
Hii inamaanisha waumini wote anaowandikia wanume au wanawake.
# huchukuliana na neno la kutia moyo
"kwa uvumilivu fikirini juu ya nilichokiandika kuwatieni moyo.
# neno la faraja
"Neno" hapa linasimama kwa niaba ya ujumbe.
# amewekwa huru
"hayuko tena gerezani"