sw_tn/heb/13/18.md

16 lines
374 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anafunga kwa baraka na salaamu
# Tuombeeni
"Tuombeeni"hapa anamanisha mwandishi na wenzake.
# tuna uhakika kwamba tuna dhamira njema/ safi
njema/ safi hapa inamaanisha hatuna hatia.
# kwamba nitarudi tena kwenu hivi karibuni
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kwamba Mungu akipenda nitaondoa mambo yanayonizuia kuja kwenu"