sw_tn/heb/13/18.md

374 B

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anafunga kwa baraka na salaamu

Tuombeeni

"Tuombeeni"hapa anamanisha mwandishi na wenzake.

tuna uhakika kwamba tuna dhamira njema/ safi

njema/ safi hapa inamaanisha hatuna hatia.

kwamba nitarudi tena kwenu hivi karibuni

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kwamba Mungu akipenda nitaondoa mambo yanayonizuia kuja kwenu"