# Sentensi Unganishi: Mwandishi anafunga kwa baraka na salaamu # Tuombeeni "Tuombeeni"hapa anamanisha mwandishi na wenzake. # tuna uhakika kwamba tuna dhamira njema/ safi njema/ safi hapa inamaanisha hatuna hatia. # kwamba nitarudi tena kwenu hivi karibuni Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kwamba Mungu akipenda nitaondoa mambo yanayonizuia kuja kwenu"