sw_tn/heb/13/05.md

325 B

tabia zenu ziwe huru lakini sio katika kupenda fedha

"Msipende pesa"

Mtosheke

"Toshekeni"

Bwana ni msaidizi wangu...kunifanya mimi

Hii nukuu inatoka katika Zaburi ndani ya Agano la Kale.

Sitaogopa. Mwanadamu atanifanya nini?

Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba haogopi watu kwa sababu Mungu anamsaidia.