sw_tn/heb/13/05.md

16 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tabia zenu ziwe huru lakini sio katika kupenda fedha
"Msipende pesa"
# Mtosheke
"Toshekeni"
# Bwana ni msaidizi wangu...kunifanya mimi
Hii nukuu inatoka katika Zaburi ndani ya Agano la Kale.
# Sitaogopa. Mwanadamu atanifanya nini?
Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba haogopi watu kwa sababu Mungu anamsaidia.