# tabia zenu ziwe huru lakini sio katika kupenda fedha "Msipende pesa" # Mtosheke "Toshekeni" # Bwana ni msaidizi wangu...kunifanya mimi Hii nukuu inatoka katika Zaburi ndani ya Agano la Kale. # Sitaogopa. Mwanadamu atanifanya nini? Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba haogopi watu kwa sababu Mungu anamsaidia.