sw_tn/heb/13/03.md

549 B

kana kwamba mlikuwa mmefungwa pamoja

"kana kwamba mlikuwa gerezani pamoja nao"

Ndoa na iheshimiwe na watu wote na kila mmoja

"wanaume na wanawake walio na kuolewa waliolewa ni lazima waheshimiane.

kama miili yao ilitendewa kama wao

Hii inawatia moyo waumini kufikiri kuhusu mateso ya watu wengine kama ambaavyo wangeweza kufikiri juu ya mateso yao.

kitanda cha ndoa kiwe safi

Hii inamaanisha tendo la ndoa kana kwamba n kitanda cha watu walioana. AT: "wanaume na wanawakewaheshimu mahusiano ya ndoa yao na sio kwenda na watu wengine"