sw_tn/heb/13/03.md

16 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kana kwamba mlikuwa mmefungwa pamoja
"kana kwamba mlikuwa gerezani pamoja nao"
# Ndoa na iheshimiwe na watu wote na kila mmoja
"wanaume na wanawake walio na kuolewa waliolewa ni lazima waheshimiane.
# kama miili yao ilitendewa kama wao
Hii inawatia moyo waumini kufikiri kuhusu mateso ya watu wengine kama ambaavyo wangeweza kufikiri juu ya mateso yao.
# kitanda cha ndoa kiwe safi
Hii inamaanisha tendo la ndoa kana kwamba n kitanda cha watu walioana. AT: "wanaume na wanawakewaheshimu mahusiano ya ndoa yao na sio kwenda na watu wengine"