# kana kwamba mlikuwa mmefungwa pamoja "kana kwamba mlikuwa gerezani pamoja nao" # Ndoa na iheshimiwe na watu wote na kila mmoja "wanaume na wanawake walio na kuolewa waliolewa ni lazima waheshimiane. # kama miili yao ilitendewa kama wao Hii inawatia moyo waumini kufikiri kuhusu mateso ya watu wengine kama ambaavyo wangeweza kufikiri juu ya mateso yao. # kitanda cha ndoa kiwe safi Hii inamaanisha tendo la ndoa kana kwamba n kitanda cha watu walioana. AT: "wanaume na wanawakewaheshimu mahusiano ya ndoa yao na sio kwenda na watu wengine"