sw_tn/heb/12/27.md

36 lines
777 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii hapa kutoka kwa nabii Hagai inarudiwa kutoka mstari wa mwanzo.
# kutoweshwa kwa vitu vile viteteshwavyo
'Mungu ataondoa vitu vyote vinavyotetemeshwa"
# tetemeshwa
Tumia neno kwa tetemeko la ardhi linachofanya katika kutembea kwenye ardhi.
# vilivyokwisha kuumbwa
"kwamba amekwisha umba."
# hivi vitu ambavyo haviwezi
'vitu ambavyo havitetemeki"
# kupokea ufalme
"kwa sababu tunapokea ufalme au " kwa "sababu Mungu anatufanya sisi kuwa wanafamilia wa ufalme wake"
# tufurahi
"tumshukuru Mungu"
# kunyenyekea katika kicho
"kunyenyekea" na "kicho" yana maanshabiliana maana na inasisitiza ukuu wa unyenyekevu kwa sababu ya Mungu"
# Mungu wetu ni moto ulao
Mungu anaongelewa kana kwamba ni moto ambao unaweza kuchoma kitu chochote.