sw_tn/heb/12/27.md

777 B

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii hapa kutoka kwa nabii Hagai inarudiwa kutoka mstari wa mwanzo.

kutoweshwa kwa vitu vile viteteshwavyo

'Mungu ataondoa vitu vyote vinavyotetemeshwa"

tetemeshwa

Tumia neno kwa tetemeko la ardhi linachofanya katika kutembea kwenye ardhi.

vilivyokwisha kuumbwa

"kwamba amekwisha umba."

hivi vitu ambavyo haviwezi

'vitu ambavyo havitetemeki"

kupokea ufalme

"kwa sababu tunapokea ufalme au " kwa "sababu Mungu anatufanya sisi kuwa wanafamilia wa ufalme wake"

tufurahi

"tumshukuru Mungu"

kunyenyekea katika kicho

"kunyenyekea" na "kicho" yana maanshabiliana maana na inasisitiza ukuu wa unyenyekevu kwa sababu ya Mungu"

Mungu wetu ni moto ulao

Mungu anaongelewa kana kwamba ni moto ambao unaweza kuchoma kitu chochote.