# Maelezo ya Jumla: Nukuu hii hapa kutoka kwa nabii Hagai inarudiwa kutoka mstari wa mwanzo. # kutoweshwa kwa vitu vile viteteshwavyo 'Mungu ataondoa vitu vyote vinavyotetemeshwa" # tetemeshwa Tumia neno kwa tetemeko la ardhi linachofanya katika kutembea kwenye ardhi. # vilivyokwisha kuumbwa "kwamba amekwisha umba." # hivi vitu ambavyo haviwezi 'vitu ambavyo havitetemeki" # kupokea ufalme "kwa sababu tunapokea ufalme au " kwa "sababu Mungu anatufanya sisi kuwa wanafamilia wa ufalme wake" # tufurahi "tumshukuru Mungu" # kunyenyekea katika kicho "kunyenyekea" na "kicho" yana maanshabiliana maana na inasisitiza ukuu wa unyenyekevu kwa sababu ya Mungu" # Mungu wetu ni moto ulao Mungu anaongelewa kana kwamba ni moto ambao unaweza kuchoma kitu chochote.