sw_tn/heb/12/12.md

16 lines
619 B
Markdown

# inueni mikono yenu iliyolegea na kufanya magoti yenu yaliyo dhaifu kuwa yenye nguvu. Nyosheni mapito ya nyayo zenu
Katika namna hii mwandishi anaongea kuhusu kuishi kama wakristo na kuwasaidia wengine.
# njia iliyonyooka
Kuishi kama kumuheshimu na kumtukuza Mungu kunaongelewa kana kwamba ni kufuata njia iliyonyooka.
# iliyo dhaifu haitapotoshwa
katika mfano huu wa kukimbia mashindanoni, "dahaifu" inawakilisha mtu mwingine katika shindano aliyeumia na anataka kuandoka katika shindano.Hili "geuka" linawakilisha wakristo wenyewe.
# isipokuwa aponywe
"badala yake aimalike" au "badala yake Mungu atamponya"