sw_tn/heb/12/12.md

619 B

inueni mikono yenu iliyolegea na kufanya magoti yenu yaliyo dhaifu kuwa yenye nguvu. Nyosheni mapito ya nyayo zenu

Katika namna hii mwandishi anaongea kuhusu kuishi kama wakristo na kuwasaidia wengine.

njia iliyonyooka

Kuishi kama kumuheshimu na kumtukuza Mungu kunaongelewa kana kwamba ni kufuata njia iliyonyooka.

iliyo dhaifu haitapotoshwa

katika mfano huu wa kukimbia mashindanoni, "dahaifu" inawakilisha mtu mwingine katika shindano aliyeumia na anataka kuandoka katika shindano.Hili "geuka" linawakilisha wakristo wenyewe.

isipokuwa aponywe

"badala yake aimalike" au "badala yake Mungu atamponya"