# inueni mikono yenu iliyolegea na kufanya magoti yenu yaliyo dhaifu kuwa yenye nguvu. Nyosheni mapito ya nyayo zenu Katika namna hii mwandishi anaongea kuhusu kuishi kama wakristo na kuwasaidia wengine. # njia iliyonyooka Kuishi kama kumuheshimu na kumtukuza Mungu kunaongelewa kana kwamba ni kufuata njia iliyonyooka. # iliyo dhaifu haitapotoshwa katika mfano huu wa kukimbia mashindanoni, "dahaifu" inawakilisha mtu mwingine katika shindano aliyeumia na anataka kuandoka katika shindano.Hili "geuka" linawakilisha wakristo wenyewe. # isipokuwa aponywe "badala yake aimalike" au "badala yake Mungu atamponya"