sw_tn/heb/11/32.md

40 lines
807 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
mwandishi anaendelea kuongelea kwa kile ambacho Mungu angefanya kwa mababu wa Israeli.
# Niseme nini tena
Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba kuna mifani mingi ambayo aliyoinukuu.
# Muda hauta niruhusu
"Sita kuwa na muda wa kutosha"
# Baraka
Jina la mtu.
# ilikuwa ni kwa kupitia imani kwamba wali
"ilikuwa ni kwa ajili ya imani wale wanaume kama hivi"
# walishinda
"waliwashinda watu wa falme ngeni"
# Shinda
Iliyoshinda
# Simamisha vinywa vya simba alizima nguvu ya moto... alikwepa makali ya ncha ya upanga
Njia ambazo watu wa Israeli waliokoka kutoka kifo. "Simba hawakuwala... moto haukuwaunguza." Upanga haukuwaua."
# Waliponywa
"walipokea uponyaji kutoka kwa Mungu"
# wakawa hodari katika vita, na wakashinda
"wakawa hodari katika vita na wakashinda"