sw_tn/heb/11/32.md

807 B

Sentensi Unganishi:

mwandishi anaendelea kuongelea kwa kile ambacho Mungu angefanya kwa mababu wa Israeli.

Niseme nini tena

Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba kuna mifani mingi ambayo aliyoinukuu.

Muda hauta niruhusu

"Sita kuwa na muda wa kutosha"

Baraka

Jina la mtu.

ilikuwa ni kwa kupitia imani kwamba wali

"ilikuwa ni kwa ajili ya imani wale wanaume kama hivi"

walishinda

"waliwashinda watu wa falme ngeni"

Shinda

Iliyoshinda

Simamisha vinywa vya simba alizima nguvu ya moto... alikwepa makali ya ncha ya upanga

Njia ambazo watu wa Israeli waliokoka kutoka kifo. "Simba hawakuwala... moto haukuwaunguza." Upanga haukuwaua."

Waliponywa

"walipokea uponyaji kutoka kwa Mungu"

wakawa hodari katika vita, na wakashinda

"wakawa hodari katika vita na wakashinda"