sw_tn/heb/11/23.md

630 B

Musa, alipozaliwa, alifichwa na wazazi wake kwa miezi mitatu

"Wazazi wa Musa walimfika kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa."

alikua

"Akawa mtu mzima

alikataa kuitwa

"aliwazuia watu kumuita"

Dharau zitokanazo na kumfuata Kristo

"udhoefu wa watu kutokumuheshimu kwa sababu alifanya kile ambacho Kristo angetaka"

Elekeza macho yake katika zawadi ya mbele

"Kufanya kile alichojua kuwa kitampatia zawadi huko mbinguni."

kumfuata Kristo

kumtii Kristo kunaongelewa kana kwamba walikuwa wakimfuata katika njia.

kuweka mach yake katika zawadi yake

Kufanya kile alichokifahamu kungemwezesha kupata taji mbinguni"