sw_tn/heb/11/23.md

28 lines
630 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Musa, alipozaliwa, alifichwa na wazazi wake kwa miezi mitatu
"Wazazi wa Musa walimfika kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa."
# alikua
"Akawa mtu mzima
# alikataa kuitwa
"aliwazuia watu kumuita"
# Dharau zitokanazo na kumfuata Kristo
"udhoefu wa watu kutokumuheshimu kwa sababu alifanya kile ambacho Kristo angetaka"
# Elekeza macho yake katika zawadi ya mbele
"Kufanya kile alichojua kuwa kitampatia zawadi huko mbinguni."
# kumfuata Kristo
kumtii Kristo kunaongelewa kana kwamba walikuwa wakimfuata katika njia.
# kuweka mach yake katika zawadi yake
Kufanya kile alichokifahamu kungemwezesha kupata taji mbinguni"