# Musa, alipozaliwa, alifichwa na wazazi wake kwa miezi mitatu "Wazazi wa Musa walimfika kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa." # alikua "Akawa mtu mzima # alikataa kuitwa "aliwazuia watu kumuita" # Dharau zitokanazo na kumfuata Kristo "udhoefu wa watu kutokumuheshimu kwa sababu alifanya kile ambacho Kristo angetaka" # Elekeza macho yake katika zawadi ya mbele "Kufanya kile alichojua kuwa kitampatia zawadi huko mbinguni." # kumfuata Kristo kumtii Kristo kunaongelewa kana kwamba walikuwa wakimfuata katika njia. # kuweka mach yake katika zawadi yake Kufanya kile alichokifahamu kungemwezesha kupata taji mbinguni"