sw_tn/heb/11/20.md

475 B

Yakobo aliabudu

"Yakobo alimwabudu Mungu"

Mwisho ulipokuwa umekaribia

"alipokuwa amekaribia kufa"

aliongeakuondoka kwa wana wa Israeli wangetoka Misri"

"aliongea wakati wana wa Israeli wangeondoka Misri"

wana wa Israeli

"wana wa Israeli" au " uzao wa Israeli"

aliwaelekeza kuhusu mifupa yake

Yusufu alikufa akiwa Misri. Aliwataka waru wake kuchukua mifupa yake wakati wataondoka Misri ili kwamba waizike mifuka katika nchi ambayo Mungu alikuwa amewaahidi.