sw_tn/heb/11/20.md

20 lines
475 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yakobo aliabudu
"Yakobo alimwabudu Mungu"
# Mwisho ulipokuwa umekaribia
"alipokuwa amekaribia kufa"
# aliongeakuondoka kwa wana wa Israeli wangetoka Misri"
"aliongea wakati wana wa Israeli wangeondoka Misri"
# wana wa Israeli
"wana wa Israeli" au " uzao wa Israeli"
# aliwaelekeza kuhusu mifupa yake
Yusufu alikufa akiwa Misri. Aliwataka waru wake kuchukua mifupa yake wakati wataondoka Misri ili kwamba waizike mifuka katika nchi ambayo Mungu alikuwa amewaahidi.