# Yakobo aliabudu "Yakobo alimwabudu Mungu" # Mwisho ulipokuwa umekaribia "alipokuwa amekaribia kufa" # aliongeakuondoka kwa wana wa Israeli wangetoka Misri" "aliongea wakati wana wa Israeli wangeondoka Misri" # wana wa Israeli "wana wa Israeli" au " uzao wa Israeli" # aliwaelekeza kuhusu mifupa yake Yusufu alikufa akiwa Misri. Aliwataka waru wake kuchukua mifupa yake wakati wataondoka Misri ili kwamba waizike mifuka katika nchi ambayo Mungu alikuwa amewaahidi.