sw_tn/heb/11/11.md

464 B

Uwezo wa kushika mimba

"Uwezo wa kuwa baba"

walimwona Mungu kuwa mwaminifu, ambaye aliwapa ahadi

"walimwamini Mungu, ambaye alikuwa amewaahidi vitu kuwa mwaninifu"

alikuwa karibia na kufa

"mzee sana kupata" au "mzee sana"

Wazao wasioweza kuhesabika... wengi kama nyota angani na mbegu za mchanga zisizohesabika kwenye ufukwe ambao hauhesabiki

Hii ilimuhusu Abrahamu kuwa na wana uzao mwingi sana.

ambayo haihesabiki

"ambayo mengi sana kuhesabu"