sw_tn/heb/11/11.md

20 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Uwezo wa kushika mimba
"Uwezo wa kuwa baba"
# walimwona Mungu kuwa mwaminifu, ambaye aliwapa ahadi
"walimwamini Mungu, ambaye alikuwa amewaahidi vitu kuwa mwaninifu"
# alikuwa karibia na kufa
"mzee sana kupata" au "mzee sana"
# Wazao wasioweza kuhesabika... wengi kama nyota angani na mbegu za mchanga zisizohesabika kwenye ufukwe ambao hauhesabiki
Hii ilimuhusu Abrahamu kuwa na wana uzao mwingi sana.
# ambayo haihesabiki
"ambayo mengi sana kuhesabu"