# Uwezo wa kushika mimba "Uwezo wa kuwa baba" # walimwona Mungu kuwa mwaminifu, ambaye aliwapa ahadi "walimwamini Mungu, ambaye alikuwa amewaahidi vitu kuwa mwaninifu" # alikuwa karibia na kufa "mzee sana kupata" au "mzee sana" # Wazao wasioweza kuhesabika... wengi kama nyota angani na mbegu za mchanga zisizohesabika kwenye ufukwe ambao hauhesabiki Hii ilimuhusu Abrahamu kuwa na wana uzao mwingi sana. # ambayo haihesabiki "ambayo mengi sana kuhesabu"