sw_tn/heb/11/07.md

20 lines
508 B
Markdown

# baad ya kupewa ujumbe wa kiungu
"Kwa sababu Mungu alimwambia yeye"
# kuhusu vitu ambavyo havijaonekana
"kuhusu vitu ambavyo hapana hakuna hata mmoja amewahi kuviona kabla" au " kuhusu matukio ambayo hayajatokea bado"
# Ulimwengu
Watu wanaoishi duniani wakati huo
# akawa mrithi wa haki
Nuhu anaongelewa kana kwamba alikuwa akirithi mali ana utajiri kutoka kwa mwana familia. "alipokea kutoka kwa Mungu mwenye haki"
# hivyo kulinganga na imani
"kwamba Mungu huwapa wale walio na imani katika yeye"